Bado Nakupenda Lyrics
Wewe hapo ndiyo unayenichangamsha mwili
Umenipa muwa na kifundo
Kidege chako za nini kikiri
Si nishanasa kwenye ulimbo
Na nikinuna ntasema sikutaki
Jua hapo ndiyo napotaka sana
Nikiuchuna ntajifanya mkaksi
Jua tu nataka kubembelezana
Maana mimi bila wewe
Kama kitu bila paper
Simtaki mwingine we
Maana kwako ndio nadeka
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Mpenzi wangu tabibu
Naahidi kuwa mpole
Ukiniacha aibu mimi
Atanicheka lokole
Unanijua mchokozi napenda kukutania
Mtoto chuchu konzi kwa ndani nafinyia
Kukulisha kwa mapozi hapo nakupulizia
Ukiniacha totoz nani atakufanyia
Maana mimi bila wewe
Kama kitu bila paper
Simtaki mwingine we
Maana kwako ndio nadeka
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda mie, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Bado nakupenda, bado nakupenda
Lyrics: Apple Music