Lava Lava ameandika “Sasa Naelewa Kwanini Ulipunguzwa Uko Unapotaka Wakusapot Sababu Unaharibu Majina Ya Watu Ambao Ninaheshmiana Nao Dada Mpaka Mkorogo Huwezi kusambaza Taarifa kwawatu Eti ves yangu ingekuwepo utakosa promo.”
“Watu kama Nyinyi Ndo Mnaharibu hii Tasnia Ebu heshimu Majina Ya watu Unaotaka Wakusapot Acha Kujipendekeza Na kusambaza Maneno Mabaya Kugombanisha watu Ili wakuonee Uruma”
“Najua Imekuuma Sasa Kwa taarifa Yako Wanangu Mtaani Wanaruka Navec nililokushindilia Nimeamua Kukubust Mana Nyimbo Yako Ilishabuma Naukumbuke kusoma Coment kwenye Page Yako Usifute Mana Wanangu Wamechafukwa Tayari Linda Namgongo Wako Qween Of Singeli”








